Go Back   Sekenke Forums. > Ukumbi wa ndoto > Uliza tafsiri za ndoto kwa Sheikh Rashid.

Reply
 
Thread Tools Search this Thread Display Modes
Old 12-03-2010, 02:02 PM   #1
ummzakaria
Senior Expert Member
 
Join Date: Jul 2010
Posts: 119
Default nyama mbichi

Bismilahi Rahmani Rahiim . SubhanaALLAh naomba tafsiri ya ndoto hii, nimeota dada yangu kaja nitembelea kaja na sinia la chakula nikamkaribisha ,nikamulizia yuko wapi mtoto wako ?akiwa hajapendezewa, akaendelea kuzungumza huku tunakula kile chakula , ambacho kulikua na nyama nzuri iliyo rostiwa basi katika kulangalia hile nyama vizuri nikawa naona ni nyama mbichi lakin sikutaka kumuliza , basi mwanangu wa kiume akasema mama mie sitaki kula nyama hii...jee ina maana gani?

pia nimemwota mama mmoja mtu wa makamo , kavaa nguo nzuri rangi ya kijani ki-bichi ambayo ni silk, machoni kapakaa wanja mzuri kapendeza sana, basi mie na mwanae tunataka kumpiga picha lakini anakataa ,jee ina maana gani? Shukran Wa baarakallahu fiik na salaam nyingi kutoka kwangu Allahuma Sali Wa Saalim Alla Sayidina Muhammad (SAW)

Last edited by ummzakaria; 12-04-2010 at 02:33 AM.
ummzakaria is offline   Reply With Quote
Old 12-05-2010, 07:23 AM   #2
rashid43
Super Moderator
 
rashid43's Avatar
 
Join Date: Dec 2006
Posts: 4,037
Default

Wa`alaikum Msalam Waarahmatullahi Wabarakaatuh,

1-Jee, huyu mwanamke aliyekuleteeni sinia la wali ameposa kwenu?
Jee, huwa ana mazoea ya kukuleteeni msaada wa fedha?

2-Huyu mwanamke ni mtu wa dini/mwema/anayefanya vitendo vyema na roho nzuri.
rashid43 is offline   Reply With Quote
Old 12-05-2010, 03:31 PM   #3
ummzakaria
Senior Expert Member
 
Join Date: Jul 2010
Posts: 119
Default

Quote:
Originally Posted by rashid43 View Post
Wa`alaikum Msalam Waarahmatullahi Wabarakaatuh,

1-Jee, huyu mwanamke aliyekuleteeni sinia la wali ameposa kwenu?hapana ni dada yangu, lakini ktk ndoto alikua anmzungumzia mjomba wetu kuwa ana matatizo tumsaidiea ana matatizo na hana matatizo ya aina yeyote.
Jee, huwa ana mazoea ya kukuleteeni msaada wa fedha?
hapana , hana mazoea hayo
2-Huyu mwanamke ni mtu wa dini/mwema/anayefanya vitendo vyema na roho nzuri.
kweli huyu ni mwanamke ambae anafunga sana swaum za sunnah , na kweli ana roho nzuri sana
ummzakaria is offline   Reply With Quote
Old 12-05-2010, 03:37 PM   #4
ummzakaria
Senior Expert Member
 
Join Date: Jul 2010
Posts: 119
Default

hapana hana mazoea ya kutuletea fedha, ila wakati katuletea hiyo chakula ,alikua anamzungumzia mjomba wetu kuwa tumsaidie lakini nilikua namwambia kuwa mbona mjomba hana matatizo yeyote..

kweli huyu mwanamke ni mtu mzuri sana anapenda kufunga sana swawm za sunah.
ummzakaria is offline   Reply With Quote
Reply

Thread Tools Search this Thread
Search this Thread:

Advanced Search
Display Modes

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off

Forum Jump

Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Nimeota na chuma embe za kijani (mbichi) Abu_Amur Uliza tafsiri za ndoto kwa Sheikh Rashid. 1 03-26-2011 10:32 PM
nimeota napewa nyama mbichi m.honey16@yahoo.com Uliza tafsiri za ndoto kwa Sheikh Rashid. 3 12-03-2010 01:31 PM
NDOTO YA NYAMA hafizasabri Uliza tafsiri za ndoto kwa Sheikh Rashid. 1 08-03-2010 08:24 PM
BIRIANI YA NYAMA Mordiy Mapishi 2 02-02-2009 01:57 PM
KATLESI ZA NYAMA Mordiy Mapishi 2 12-16-2008 09:31 AM


All times are GMT +4. The time now is 09:51 PM.

Powered by vBulletin® Version 3.8.3
Copyright ©2000 - 2016, Jelsoft Enterprises Ltd. Mahmoud Al-Asmi